Namna ya ku-unlock vodacom k3772-z modem

MNAFU

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
99
Reaction score
24
Habari zenu wanajamvi.

Hivi karibuni nilinunua kutoka katika Vodashop aina hii ya modem (K3772-Z) lakini kwa bahati mbaya eneo ninaloishi mtandao wa Vodacom hauko vizuri kwenye Internet. Ikiconnect inakimbia kama konokono. Inaonekana Airtel speed yake ni nzuri na kwa hiyo inabidi niifanyie utundu modem hii ili niweze kutumia line ya Airtel.

Ukweli ni kuwa nimetumia siku kadhaa kutandaa huku na huku bila mafanikio. Najua hapa jf ni kiboko ya yote na sipo peke yangu mwenye aina hii ya modem na tatizo hili. Naomba msaada wenu wakuu namna ya kui-unlock/flash aina hii ya modem.
 
Modem zote za Vodacom kutoka ZTE ziko unlocked firmware zaidi zinayo Custimized dashboard ambayo haiwez kusoma line tofauti na Vodacom

Solution ni kuinstall JOIN AIR DASHBOARD

Good day
 
KARIBU
 
Ahsante mkuu. Ngoja niingie msituni nione nitafikia wapi.
 
Wakuu pamoja na kusoma link mlizonipatia na ku-google sana bado SIJAFANIKIWA. Nimeinstall joinair dashboard lakini haiioni modem kabisa. Naomba msaada zaidi.
 
wakuu hakuna aliyepata namna ya ku-unlock hii vodafone K3772-Z
 
Nadhani hiyo modem itakuwa ni zte Icera kama hii yangu hambayo haikubali kwa join air.
Mtoa mada atafute O2 connection Manager ndo itakubali kusoma line zote.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Ni kwelii mkuu niliyo nayo ni ya zte icera Kama una link inapotatika hiyo o2 connection manager nomba uitupie hapa

Maana gharama ya kui unlock kutumia DC unlocker ni sawa na bei ya kununua modem Mpya.
 
http://softwaredownloads.o2.co.uk/O2Broadband_SoftwareDownloads/setup.exe
1.Kabla ya yote chomeka modem yako na uinstall software iliyokuja na modem(VMB)ili drivers zote muhimu za hiyo modem ziingie.

2.Ingia setting katika hiyo VMB dashboard uizuie isijistart kila unapowasha PC au kuchomeka modem

3.Install O2 connection manager

3.Chomoa modem then ichomeke tena utaona inadetect kwenye O2.

Voilaa,yo gud 2 go

sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni kwelii mkuu niliyo nayo ni ya zte icera Kama una link inapotatika hiyo o2 connection manager nomba uitupie hapa

Maana gharama ya kui unlock kutumia DC unlocker ni sawa na bei ya kununua modem Mpya.

Mwenyewe nilifanikiwa kuunlock ya Airtel ZTE kutumia DC Unlocker. Sasa inapiga mzigo safi kabisa! Ni free!
 
Dc unlocker inayotumika ku unlock modem ya Airtel wame i crack ila hii inayotumika ku unlock k3772-z haija chakachuliwa so for now inabidi ulipie
 
Mwenyewe nilifanikiwa kuunlock ya Airtel ZTE kutumia DC Unlocker. Sasa inapiga mzigo safi kabisa! Ni free!

Zte Mf 190 ni nyipesi sana kuiunlock siyo hizi za Zte Icera maana ni habari nyingine.
Binafsi nimechakachua karibia huawei na Zte zote za hii mitandao yetu ya GSM but hii niliyonayo Vodafone K 3805-z(Icera) ya 14.4Mbps ni pasua kichwa.
Salama yangu ni hiyo O2 Connection manager
 
Modem zote za Vodacom kutoka ZTE ziko unlocked firmware zaidi zinayo Custimized dashboard ambayo haiwez kusoma line tofauti na Vodacom

Solution ni kuinstall JOIN AIR DASHBOARD

Good day
mkuu unamaanisha nikidownload JOIN AIR DASHBOARD inapiga kazi mitandao yote?
 
Back
Top Bottom