tumia blackberry as a modem

tumia blackberry as a modem

john hotsam da1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
396
Reaction score
79
habari wakuu....leo nimeona nianzishe kauzi kanachoelezea jinsi ya kutumia blackberry kama modem kwenye kompyuta kwani utakuta mtu ana smartphone lakini bado akitaka internet ananunua modem ya 50 000tsh gharama zinazoweza epukika....kwa android ni rahisi sana just setting-wireless n networks-tethering,symbian kwa kweli sio mtaalam (labda chief-mkwawa anaweza elezea) nime-intend kuelezea blackberry ambayo ni kama ifuatavyo
1.pitia hapa udownload https://swdownloads.blackberry.com/...3BB068C22&dl=A2C0D61EB187AB3AFD247A852FAD3647
2.install kisha ifungue..nenda kwenye tools na click mobile internet setting kisha chagua profile...kama ni voda weka vodacom prepay....tigo ipo,airtel sijaiona
3.nenda tena tools kisha connect internet

kama kuna tatizo umekutana nalo usisite kuuliza
 
Last edited by a moderator:

Naomba kujua hiyo app inatumia internet ipi...BIS au inakula salio
 
Inatumia the same internet uliyosubscribe. Kama umenunua unlimited package ya bb kwa mwezi basi simu zote na laptop huhitaji kununa bundle. Beware, inakula sana battery so ka-bb kako uweke kwenye umeme kama hauna portable charger.

Nataka kujua kama nitatumia BB plan kuunganisha kwenye mtandao au nitahitajika kujiunga na kifurushi cha mtandao kama natumia modem vile
Nadhani umenielewa dogo
 
Hapo mkuu unatakiwa usubscribe kifurushi kingine kama unatumia modem na hautumii bis
Nataka kujua kama nitatumia BB plan kuunganisha kwenye mtandao au nitahitajika kujiunga na kifurushi cha mtandao kama natumia modem vile
Nadhani umenielewa dogo
 
Je hiyo link hapo juu una download kwenye simu au ni kwenye computer?
 
Yaani sijaelewa kuwa hujaelewa nini dogo? Whatever plan you have, function ya tathering inatumika kurusha mtandao kwenye vyombo vingine kama ipad, laptop ama simu zingine. The more the gadgets the slower the net, so you rather put a password. Kwani bb plan na mpango data nwingine zina tofauti kwenye huduma?
Nataka kujua kama nitatumia BB plan kuunganisha kwenye mtandao au nitahitajika kujiunga na kifurushi cha mtandao kama natumia modem vile
Nadhani umenielewa dogo
 
HAkika hautaweza kwani hadi hiyo software i-detect hiyo simu ni lazima iwe ya rim(blackberry)
Kumbe hata mm wa android nikijiunga kifurushi cha blackberry kwene voda o tigo yangu ntaweza kukitumia ktk pc via usb tethering...is it?
 
Bila shaka mkuu unachanganya tethering na hotspot,unayoongelea wewe ni ile ya wifi ambayo inafanya na latest blackberry lakini tethering inatumia usb cable n I bet hata blackberry za zamani zaidi zinaweza fanya hii
Yaani sijaelewa kuwa hujaelewa nini dogo? Whatever plan you have, function ya tathering inatumika kurusha mtandao kwenye vyombo vingine kama ipad, laptop ama simu zingine. The more the gadgets the slower the net, so you rather put a password. Kwani bb plan na mpango data nwingine zina tofauti kwenye huduma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom