wakati nasoma nakumbuka malengo yangu ni kufikia/kupata PHD, ningeendelea na yale maŵazo na kûyafanyia kazi, naamini asaiv ningekua naongea mẃenyeẃe, maana tofaut na wengine mm kadiri nilivyokua najitahd kusoma akili nayo ikawa inajitahd kupungua, maana ilifika hatua nikawa nasoma hadithi za sungura na simba na vitoto kana kwamba ñdio naanza vidudu.
Nenda kamalize masters hiyo. Kama na “likitabu” ulishaandika draft, upo pazuri. Tembea kifua mbele.By the way hata kwa waajiri huwa napelekaga yale matokeo partial ya Masters nawaambia namalizia Dissertation.
Usije kukuta ulisoma Masters Mzumbe?au UDOM
Google was once quoted saying "GPA's (even degrees) are worthless criteria for hiring." Funia imebadilika cku hzHabari wadau..
Jana vodacom wamemtangaza mmisri kuwa CEO wao mpya.. kwenye profile yake ni ana degree 1 tu ya business administration from university of cairo
Kabla ya mmisri.. vodacom walimteua dada wa kikenya.. na yeye hana masters ana degree 1 tu... ya chakula from university of nairobi
na kabla ya kumteua mama wa kikenya.. walikuwa na ceo mwenye asili ya india Ian Ferrao.. na yeye nae hakuwa na masters alikuwa na degree 1 tu ya finance..
hili ni funzo kwa Watanzania tunaopenda kusoma Masters kwa ajili ya kupata cheo... na hata wateuzi wa nafasi za serikali.. kuongoza kampuni kama TTCL ishindane kibiashara ,, tuache mambo ya kuteua masters na phd holders... tuachane na vyeti na theory.. wateuliwe watu wanaoweza kufanya biashara hata kama wana degree 1 tu..
Vyeti vingi ni theory tu huku biashara ni uhalisia
Kuna CEO wa British Petroleum (BP) alikuwa ana Bachelor ya business administration tu na alikuwa kichwa kweli kweli! Kuendelea na masters na PhD labda kama unaenda kufundishaHabari wadau..
Jana vodacom wamemtangaza mmisri kuwa CEO wao mpya.. kwenye profile yake ni ana degree 1 tu ya business administration from university of cairo
Kabla ya mmisri.. vodacom walimteua dada wa kikenya.. na yeye hana masters ana degree 1 tu... ya chakula from university of nairobi
na kabla ya kumteua mama wa kikenya.. walikuwa na ceo mwenye asili ya india Ian Ferrao.. na yeye nae hakuwa na masters alikuwa na degree 1 tu ya finance..
hili ni funzo kwa Watanzania tunaopenda kusoma Masters kwa ajili ya kupata cheo... na hata wateuzi wa nafasi za serikali.. kuongoza kampuni kama TTCL ishindane kibiashara ,, tuache mambo ya kuteua masters na phd holders... tuachane na vyeti na theory.. wateuliwe watu wanaoweza kufanya biashara hata kama wana degree 1 tu..
Vyeti vingi ni theory tu huku biashara ni uhalisia
ebu sema vzr, huyo ceo wa voda ni tanzania au ? maana yule mmama wa kenya alikataliwa sababu ya ukenya wake iweje huyu akubaliwe kwa sababu ya ufarao wake????
Usije kukuta ulisoma Masters Mzumbe?au UDOM
Maprof wengine too complicated aiseeNilikwenda UD kusoma Masters. Baada ya kusumbuana na Prof kwenye Dissertation, nilimtupia likitabu huko na kuondoka zangu. Since then, its five yrs sijawahi rudi tena UDSM. Bachelor zangu mbili za undergraduate ndio zinazoniweka mjini. By the way hata kwa waajiri huwa napelekaga yale matokeo partial ya Masters nawaambia namalizia Dissertation.