Vodacom hawataki masters kabisa.. wateua CEO wa 3 asiye na masters, degree 1 inatosha kuwa CEO Voda

Kabisa hata dubai sasa hivi hawahitaji master wanaona inapoteza
Muda wenye degree ndio wanaopata kazi sana na ujuzi ni uiinga kujaza mivyetu huku huna ujuzi ki degree changu kimeniokoa hasa kimenioa na mijengo miwili na masafari kibao naranda tu
Safari za wap mkuu
 
Back
Top Bottom