Habari wadau..
Jana vodacom wamemtangaza mmisri kuwa CEO wao mpya.. kwenye profile yake ni ana degree 1 tu ya business administration from university of cairo
Kabla ya mmisri.. vodacom walimteua dada wa kikenya.. na yeye hana masters ana degree 1 tu... ya chakula from university of nairobi
na kabla ya kumteua mama wa kikenya.. walikuwa na ceo mwenye asili ya india Ian Ferrao.. na yeye nae hakuwa na masters alikuwa na degree 1 tu ya finance..
hili ni funzo kwa Watanzania tunaopenda kusoma Masters kwa ajili ya kupata cheo... na hata wateuzi wa nafasi za serikali.. kuongoza kampuni kama TTCL ishindane kibiashara ,, tuache mambo ya kuteua masters na phd holders... tuachane na vyeti na theory.. wateuliwe watu wanaoweza kufanya biashara hata kama wana degree 1 tu..
Vyeti vingi ni theory tu huku biashara ni uhalisia