CEO mwenye mafanikio makubwa East africa hana degree. Wasomi tunajifunza nini?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,520
Habari wadau..

Naomba wasomi tujenge hoja tunajifunza nini kama huyu CEO wa safaricom ambaye ndie alikuwa bosi wa new ceo anaekuja vodacom Tanzania hana hata degree moja..

University education isn't everything: 12 lessons from Safaricom CEO Bob Collymore

Je wasomi tunaokopa hela tufanye masters na Phd vyuo vyetu vya kitanzania tunakosea au maarifa sahihi ya kuperform yanapatikana shuleni, mtaani au wapi...

Maana uber tax aliacha chuo.. facebook aliacha chuo, microsoft aliacha chuo, CNN aliacha chuo.

Na mama lishe mwenye degree moja tu anapewa Vodacom ambayo imejaa watu na masters zao..

Na hata CEO Ian aliemaliza muda wake Vodacom naye ana degree moja tu...

Je vyeti vingi vinasaidia kupanda vyeo miaka hii au vinazingia..

Huyu CEO wa safaricom asiye na degree angekuwa bongo tungekubali Voda ipewe CEO ambaye hana hata degree moja?

Mjadala wa kisomi wa hoja itapendeza
 
  1. Degree does not guarantee success, it does improve chances of getting noticed.
  2. Mukwawa didn't have any degree but is recognized to date
  3. Backhresa doesn't have those papers , but you can't be compared to him
  4. The real education is within street life, we do attend schools and colleges to get only evidence of attending, (paper)
  5. My grand father didn't have degree, but villagers gathered every day to seek for advises from him,
  6. At age of 20s last years boys were able to run families without degrees , but now at the same age with degrees are just betting, without focusing about their future
 
habari wadau..

naomba wasomi tujenge hoja tunajifunza nini kama huyu ceo wa safari com ambaye ndie alikuwa bosi wa new ceo anaekuja vodacom tanzania hana hata degree moja..

University education isn't everything: 12 lessons from Safaricom CEO Bob Collymore

je wasomi tunaokopa hela tufanye masters na phd vyuo vyetu vya kitanzania tunakosea au.. maarifa sahihi ya kuperform yanapatikana shuleni, mtaani au wapi...

maana uber tax aliacha chuo.. facebook aliacha chuo, microsoft aliacha chuo, cnn aliacha chuo..

na mama lishe mwenye degree moja tu anapewa vodacom ambayo imejaa watu na masters zao..

na hata ceo ian aliemaliza muda wake vodacom nae ana degree moja tu...

je vyeti vingi vinasaidia kupanda vyeo miaka hii au vinazingia..

huyu ceo wa safaricom asiye na degree angekuwa bongo tungekubali voda ipewe ceo ambaye hana hata degree moja?

mjadala wakisomi wa hoja itapendeza
Bob Collymore ni Mnugu sio Black Saharan
 
C.E.O wa Ali Baba anasema kwamba

<Degree,PhD is a only a receipt you paid that much money to study.
The real school is in the society.When you find a job and prove really makes things different.
I love people ready to learn and not say I,am a PhD.>

Sijui umemuelewa hapo?
 
[QUOTE"FRESHMAN, post: 27074998, member: 55774"]so ukiwa mzungu degree sio muhimu..

akija mzungu hana degree akapewa TTCL tutakubali?[/QUOTE]
My point was Bob Collymore is not an East African..So sio sahihi CEO kutoka ea mwenye mafanikio zaidi
 
habari wadau..

naomba wasomi tujenge hoja tunajifunza nini kama huyu ceo wa safari com ambaye ndie alikuwa bosi wa new ceo anaekuja vodacom tanzania hana hata degree moja..

University education isn't everything: 12 lessons from Safaricom CEO Bob Collymore

je wasomi tunaokopa hela tufanye masters na phd vyuo vyetu vya kitanzania tunakosea au.. maarifa sahihi ya kuperform yanapatikana shuleni, mtaani au wapi...

maana uber tax aliacha chuo.. facebook aliacha chuo, microsoft aliacha chuo, cnn aliacha chuo..

na mama lishe mwenye degree moja tu anapewa vodacom ambayo imejaa watu na masters zao..

na hata ceo ian aliemaliza muda wake vodacom nae ana degree moja tu...

je vyeti vingi vinasaidia kupanda vyeo miaka hii au vinazingia..

huyu ceo wa safaricom asiye na degree angekuwa bongo tungekubali voda ipewe ceo ambaye hana hata degree moja?

mjadala wakisomi wa hoja itapendeza
Mimi nilishakatishwa tamaa na kuacha kujiendeleza kielimu kwasababu ya miphd na mimaster yetu ya kukariri
 
[QUOTE"FRESHMAN, post: 27074998, member: 55774"]so ukiwa mzungu degree sio muhimu..

akija mzungu hana degree akapewa TTCL tutakubali?
My point was Bob Collymore is not an East African..So sio sahihi CEO kutoka ea mwenye mafanikio zaidi[/QUOTE]

safaricom ipo ulaya au east africa?
 
Yes maybe. But dunia tunayoishi degree ndio standard ya kutambulika maoficin.

Ndio standard ya maofic mengi
 
We ni jinga heading umeandika hana degree kwenye content umeandika ana degree moja.... Hivi shule ulienda kusomea ujinga??

umesoma vizuri... shule mnaenda kusomea ujinga.. kwa sauti ya faiza foxy..

hiyo degree amesomea chuo gani?
 
My point was Bob Collymore is not an East African..So sio sahihi CEO kutoka ea mwenye mafanikio zaidi

safaricom ipo ulaya au east africa?[/QUOTE]
Yeye sio Mu east Africa yani ni sawa aje mzungu hapa kutoka Ujerumani.mumpe Tigo apate mafanikio then umuite CEO mwenye mafanikio East Africa
 
Back
Top Bottom