TTCL wananiboa kitu kimoja...ukiwa na MB huwezi nunua kifurushi kingine kabla hujamaliza MB ulizonazo,ukijiloga tu eti ununue mb 500 mara mbili ili upate 1GB imekula kwako. (hela wanachukua na kifurushi hupati unabaki na mb 500 zako)
heeTTCL wananiboa kitu kimoja...ukiwa na MB huwezi nunua kifurushi kingine kabla hujamaliza MB ulizonazo,ukijiloga tu eti ununue mb 500 mara mbili ili upate 1GB imekula kwako. (hela wanachukua na kifurushi hupati unabaki na mb 500 zako)
Jaribu mkuuu,nadhani utatoa macho mara mbili ya ulivyoyatoa hapo π€£ π€£ π€£
hawa jamaa kwani mbona wanatuchukia??Jaribu mkuuu,nadhani utatoa macho mara mbili ya ulivyoyatoa hapo
Wakuu nihamie mtandao gani?
Naona ni kote jana ndo kabisaa kuna mda ata internet haikwepoHivi huu mtandao wa voda jana na leo ni simu yangu tu au kuna wengine wana -struggle kama mimi
Hembu nipe maelezo kidogo ya bando zao?Hamia airtel
Kifurushi changu pendwa kimeingia doa.
Nikiwa mtumiaji mkubwa wa internet hiki kilikuwa kifurushi changu pendwa.
Tsh. 2500 kwa 500MB ni unrealistic hata kama una hela kiasi gani.
Sitawahama voda, ntaendelea kutumia kwa kupiga na sms.
Ila kwa upande wa internet ntatumia Smile. Kwa Tsh. 14500 napata 10GB ambayo unaipata kwa Tsh. 50K kwa voda.
Kwaheri internet ya voda.View attachment 1138880
ime nibidi nirudi nyumbani sasa maana Tshs 1000 napewa MB250 ambapo simu yenyew 4g niki browse IG mara 2 tu kifurushi kinakua kwishney
TTCL
Hongera!Furahia GB5 za intanet kwa siku 30 kwa Tshs. 5,000.Tafadhali maliza kifurushi hiki kabla ya kujiunga na kingine.
Hembu nipe maelezo kidogo ya bando zao?
Aisee hii afadhali..ngoja nihamie hukoWanajitahid mb. Kuna kama 1gb kwa siku tatu kwa bei ya 1000/=.
1000 dk 50 mitandao yote for 30 days.
Piga *150*88#Voda unapata dk tu. 10k kwa dk 450 mitandao yote.
Acha uongo mkuu mimi nimedownload zaidi ya muvi 3 kwa GB 3 hizohizoUjinga wa halotel hio 1GB yao ni kiini macho tu, wanakupeni 600MB unadanganywa ni 1GB ukiingia youtube na instagram kidogo tu ishaisha.
πππππ mie wamentumia sh.50 eti gawio. Wasenge kweli hawa mbuzi wa hitima
Na hiki ndicho kinanitoa kwao leoUzuri wa Voda ni kwamba jinsi unavyokuwa mteja mtiifu kwao ndio wao wanazidi kukunyonga. Line yangu ina miaka karibia ishirini lakini hizo offer zake wanazonipa hadi natamani niitupilie mbali ninunue line mpya.