Ujinga wa halotel hio 1GB yao ni kiini macho tu, wanakupeni 600MB unadanganywa ni 1GB ukiingia youtube na instagram kidogo tu ishaisha.
mie wamentumia sh.50 eti gawio. Wasenge kweli hawa mbuzi wa hitima
Sahivi nimeamka nimekuta wamentumia 235 tena. Ati ni gawio, wanahisi ntawahanya 😄😄😄😄😄 idiots mburukengeJuzi nimekaa naona m pesa text nikajuwa labda Kuna kiumbe kimenikumbuka kumbe gawio eti sh 119 daaaah
Hahahahahaah eti gawio kila week mweeeh.... Yaani Voda Nikitaka kutumia nmb click na nunua mb 30 za 200 sh nafungua hiyo app nafanya mambo yangu natoka na laini yenyew naitoa kwenye simu mambo yasiwe mengiSahivi nimeamka nimekuta wamentumia 235 tena. Ati ni gawio, wanahisi ntawahanyaidiots mburukenge
Voda unapata dk tu. 10k kwa dk 450 mitandao yote.Huwa nawashangaa sana wanaotumia voda kwa huduma ya kupiga Simu na internet,gharama zao ziko juu na vifurushi vyao ni vya kipuuzi sana,Mimi mdau Wa Airtel kwa sh 10,000 unapata dakika 450 mitandao yote na mb kibao kwa mwezi,kwangu Mimi airtl ni mkombozi
Unaungaje?Naenda zangu Halotel yaan 1000 napata GB1 Sms 500 na dakika 50 siku 7
Hakika Nyumbani kumenogaime nibidi nirudi nyumbani sasa maana Tshs 1000 napewa MB250 ambapo simu yenyew 4g niki browse IG mara 2 tu kifurushi kinakua kwishney
TTCL
Hongera!Furahia GB5 za intanet kwa siku 30 kwa Tshs. 5,000.Tafadhali maliza kifurushi hiki kabla ya kujiunga na kingine.
Mkuu watu siku hizi hawahitaji sana dk..wanalalamikia mbsJaribuni na Airtel kwenye ofa yako.
1000 = 50 mnts all networks 30 days
1000= 250 mnts airtel airtel, 10 mnts all ntwks 30 days.
Mnene yule anayenyoa style Fulani hivi si ndiyo?voda nishawakimbia wanasumbua sana, pia customer care za Moshi ni mbuvu dunia nzima, waudumu wanajibu vibaya hasa kwenye jengo jipya la NSSF kunajamaa mmoja mnene mnene hivi anajisikia vibaya sana usipo jizuia lazima utoke umekasilika ukiingia ofice zao and than they don't care VODACOM MOSHI JILEKIBISHEN BORA UWENDE KWA VISHOKA KU RENEW LAINI KULIKO KWENDA OFICIN KWENU
Nishawachoka.hahahah utaki ufala
Hivi huu mtandao wa voda jana na leo ni simu yangu tu au kuna wengine wana -struggle kama mimi
Airtel kwenye dakika nadhani hawana mpinzani...ila MSG tu ndio wanaponichosha...vifurushi vyao vyote msg wanabania,sijawahi jiunga kifurushi cha wiki msg zikafikisha sku 3... cha mwezi msg ntaenda nazo 2wks kwisha...Huwa nawashangaa sana wanaotumia voda kwa huduma ya kupiga Simu na internet,gharama zao ziko juu na vifurushi vyao ni vya kipuuzi sana,Mimi mdau Wa Airtel kwa sh 10,000 unapata dakika 450 mitandao yote na mb kibao kwa mwezi,kwangu Mimi airtl ni mkombozi