Vodacom becoming a very poor mobile service

Voda hamna kitu saiz hata huduma kwa wateja mbovu mbovu sana niaha switch to the altenative
 
Gusa harotel ufurahie *150*88# utaipenda mimi situmii tena hiyo voda ni kampuni ya matajiri tu mwenye kipato kidogo kama mimi huko hakumfai
 
Tatizo hamna uelewa wa IT
Ukiwasha data,simu yako au laptop in upgrade software na apps ndani kwa ndani
Fanya settings mashine au simu ikuulize kabla ya kufululiza updates,utaokoa vifurushi vyako
 
Tatizo hamna uelewa wa IT
Ukiwasha data,simu yako au laptop in upgrade software na apps ndani kwa ndani
Fanya settings mashine au simu ikuulize kabla ya kufululiza updates,utaokoa vifurushi vyako
Broo laptop inaonesha nimetumia 1.5 GB kwa mwezi mzima..simu inaonesha nimetuma 1.2 kwa siku 2 ila halali nimeweka GB 10 na message imekuja kwamba zimeisha.... naomba utumi uIT wako unisaidie hapo zimeenda na maji au?
 
Vodacom ni mtandao wa kisenge sana.
 
Kumbuka voda walilipa faini tsh bil 6, unadhani watazitoa wapi? Tulieni turudishe deni kwanza
 
Anza kupeleka malalamiko yako kwa mtoa huduma asipokusaidia ipasavyo nenda TCRA watakusaidia unaweza kuwatumia malalamiko kwenye email yao malalamiko@tcra.go.tz na uweke ushahidi kabisa wakiridhika juu ya madai yako watamwita mlalamikiwa na wewe mtasuluhishwa na kama ni fidia utapewa muongozo
 
Alafu wanapandisha Ada za kutolea pesa kienyeji bila kutaarifu wateja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…