utenguleone
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 151
- 42
Airtel hawana tatizo. Vodacom matatizo kila mahali! Mpesa nako ni usanii mtupu!
Leo
nimejiunga na huduma ya vodacom ya cheka time ya Tsh 400 ambayo unapewa
dk 10 za vodacom kwenda vodacom na MB 25 na sms100 baada ya kujiunga
nilipiga sim nikaongea kwa dk 5.53 cha kushangaza muda huo huo nikatumiwa msg toka
voda kuwa kifurushi changu kimekwisha. Jamani voda huu sio wizi?