Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,917
- 30,030
Vodacom wamekuja na ofa mpya ya Super Cheka Internet ambapo wanaitangaza kwamba ni masaa 24. Lakini cha ajabu ukijiunga muda wowote ule, mwisho wa ofa ni Saa sita usiku.
Ina maana ukijiunga saa moja usiku utadumu kwenye ofa kwa masaa matano tu mpaka saa sita usiku, badala ya masaa 24.
Nimejiunga na hii ofa dakika chache zilizopita na nikapata meseji hii hapa chini
" Hongera!Umenunua dakika 30 kupiga Vodacom-Vodacom, SMS 100 kwenda mitandao yote na 50MB .Tumia kabla ya 5:59 usiku leo.Piga *149*01# ili kujua salio lako"