Vodacom acheni usanii

1800

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
2,215
603
Wadau haya mashirika ya simu ya hapa nchini kwa kweli yana huduma mbovu sana,mimi natumia internet ya vodacom,kwa kweli mtandao huu ni mbovu hakuna mfano!wako slow mno,kifupi ni maudhi tu,tofauti kabisa na matangazo yao wanayotoa kwy vyombo vya habari,nimejaribu package zao zote hakuna hata moja yenye afadhali!huu ni wizi wa wazi wazi!naomba mdau anaejua ni mtandao gani mzuri kwa huduma ya internet anijuze,sitaki tena kuwasikia voda,bora nilipe zaidi nipate huduma ya uhakika
 
VODACOM SLOW? Au wewe ulipo hakuna 3g? couse honesltly after zantel, voda ni wa pili on my side!!(on downloading speed aspect)
nikiweka ile bundle ya elfu 30. the first 2gb downloading speed yake inaenda mpaka 800kb!!

au labda nahisi inategemea na bundle uliyoweka, but mimi huwa na weka ya elfu 30 for 1 month!!
 
Mkuu nami nimeweka hiyo hiyo,wanaita bomba30 na modem yao ina read kua 3g ndiyo inayotumika!ila inanisumbua kupita kiasi
 
Tafuta msaada kwa wataalam wa pc yako, la sivyo utahama makampuni yote na kuyaona hayafai. Inawezekana tatizo liko kwenye pc na wala si mtandao.
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu,ila kuna wakati inakua faster sana,sasa nashindwa elewa tatizo liko wapi!na nilijaribu tumia modem ya airtel kwa two days ilikua haina tatizo hata kidogo!nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu
 
duh bro watakshngaa watu hao jamaa wako poa yn ndo nimeona we wa kwanza kuwalalamikia kwa speed ya net
 
dah mjue watu wanapenda kulalamika sana inategemea na eneo ulipo mfano maeneo kama ya vyuo mfano udom speed ya mitandao yote ni 10 hadi 30 kbps ila maeneo yenye 3g na watu wachache kama tanga speed ni kubwa inaenda hadi 300kbps, kama unaset network yako hdspa au wcdma speed itakua kubwa tuuu.
 
unaloongea hasa kwenye red si kweli, tigo wanaspeed nzuri zaidi kwa udom kuliko mitandao mingine, tatito ni gharama.
 
kumbe nilikua sijaelewa mkuu...nilinunua ile ya bomba30 nafikiri baada ya 2gb kwisha ndio ikaanza kuwa slow,ila nimerecharge tena hapa,naona speed ya kutosha tu,ila jioni ndio inakua speed kubwa zaidi
 
ufanisi wa mitandao yetu ktk internet hapa nchini ni wa kubahatisha kulingana na eneo ulipo. Mimi napoishi napata 2G lkn nikitembea kama 1km napata 3G. Hao ni Tigo
 
unaloongea hasa kwenye red si kweli, tigo wanaspeed nzuri zaidi kwa udom kuliko mitandao mingine, tatito ni gharama.

Tunaposema hizo speed namaanisha bundle za kawaida, tigo light inazidi hio speed? Mpaka ueke max ambayo ni zaid ya elf 60 per month au mzee watumia sa 8 usikuuuuuuuuu
 
Mm natumia airtel ktk iphone4 lkn kila wkt in edge tu..nikiwaona wanasema wameset baada ya nusu saa nizime hlf niwashe lkn hakuna kitu..ila kwa voda kweli ipo fast hata youtube unateleza tu...
 
Back
Top Bottom