umejaribu kutoka nje ya dar? huko ni mjini banaMn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps
Mn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps
hapo apo DIT bro tigo inapoteza net sometime 4G haifikii ata 20mbps bro acha poteza ummaMn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps
naomba utupimie speed ya tigo ulete hapaMn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps
tigo inaathiriwa sana na signalTigo kigambonn
View attachment 348178
How?embu tufafanulie chieftigo inaathiriwa sana na signal
How?embu tufafanulie chief
Mkuu nisaidie, hizi line za Voda 4G ili uweze kutumia lazima simu yako iwe na uwezo wa 4G??jinsi network inavyokuwa dhaifu tigo ndio jinsi speed yako inavyokuwa ndogo ngoja baadae kidogo nitaeka screenshot
line ya 4g hata simu ya kawaida unaweza tumia hata iwe nokia ya tochi.Mkuu nisaidie, hizi line za Voda 4G ili uweze kutumia lazima simu yako iwe na uwezo wa 4G??
Hlo tatzo la network linasababishwa na nin,wingi wa watu au?jinsi network inavyokuwa dhaifu tigo ndio jinsi speed yako inavyokuwa ndogo ngoja baadae kidogo nitaeka screenshot