lameck laedo Senior Member Joined May 15, 2016 Posts 174 Reaction score 76 May 15, 2016 #161 hamna jinsi ya kuweza kuunlock.?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,522 May 15, 2016 #162 lameck laedo said: hamna jinsi ya kuweza kuunlock.? Click to expand... cheki na watu wa ku unlock wao ndio wanajua kama inawezekana ama au haiwezekani
lameck laedo said: hamna jinsi ya kuweza kuunlock.? Click to expand... cheki na watu wa ku unlock wao ndio wanajua kama inawezekana ama au haiwezekani
lameck laedo Senior Member Joined May 15, 2016 Posts 174 Reaction score 76 May 15, 2016 #163 Chief-Mkwawa said: cheki na watu wa ku unlock wao ndio wanajua kama inawezekana ama au haiwezekani Click to expand...
Chief-Mkwawa said: cheki na watu wa ku unlock wao ndio wanajua kama inawezekana ama au haiwezekani Click to expand...
lameck laedo Senior Member Joined May 15, 2016 Posts 174 Reaction score 76 May 15, 2016 #164 asante chief.
B bilu97 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,427 Reaction score 1,589 Jun 4, 2016 #165 Kwenye premier bet ukitaka kucheki ticket unafanyaje ?
J john wa seba Member Joined Oct 8, 2015 Posts 57 Reaction score 23 Jun 9, 2016 #167 Jaman hiyoo 4,g dodoma inakujaa linii??
The coolest jw JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 782 Reaction score 1,155 Mar 20, 2018 #168 Mwanza lini? Voda wanaleta 4g maana naamini mwanza kuna watumiaji wengi wa mtandao wa vodacom kushinda uko dar ambako tigo ndio imetawala uko
Mwanza lini? Voda wanaleta 4g maana naamini mwanza kuna watumiaji wengi wa mtandao wa vodacom kushinda uko dar ambako tigo ndio imetawala uko