Voda mnanichosha jamany

Voda mnanichosha jamany

Nyie ndo mmewajua leo kuwa voda ni nyoko? Mke wangu aliajiriwa na voda,nikamuuliza kuwa: chagua voda au ndoa,akachagua ndoa,wote tukaenda airtel,voda washenzi sana!

Aisee hii kiboko! Sasa si angeendelea tu kufanya kazi Voda na akawa na alternative line ya mtandao anaoupenda?
 
Vodacom watapotea kwenye soko sasa hivi...hizi ni athari za kuuza infrastructure hellios towers so hawana control ya quality ya transmission kabisaaa
 
Afu karibu wiki sasa kuna kitu kinajitokeza mara kwa mara kwa simu yangu yenye voda, mwanzao nilidhani ni mimi tu na kufikiri simu yangu imekufa kumbe nikagundua tupo wengi sana(kwa simu za touch screen)..kuna mda naweza ukapigiwa simu inaita afu ukitaka kupokea haipokeleki..yaani inagoma kabisa hata u-slide vipi kupokea...sasa kuna siku ikabidi nifanye uchunguzi..nikachukua simu ingine pembeni nikapiga simu yangu...simu yangu haiiti ila ile nyingine inaonesha inaita then baada ya sekunde kama tano hivi inakata inasema simu haipokelewi afu ikishakata tu huku kwangu ndo simu inaanza kuita sasa, yaani simu inaingia wakati kule ninapopiga imeshakata...Nikachoka kabisa:A S-confused1::A S-confused1:!!! sasa hapo hata upokee vipi haipokeleki... juzijuzi ndo nkakutana na watu wengine kama wanne hivi wanatumia simu za touch pia (aina tofautitofauti) ila mtandao voda nao wanalalamika touch zao zimekufa..:shocked::shocked:..DOH...hivi nnampango nikatafute line ya airtel niweke namba hii hii tu..VODA GOODBYE!!
 
Back
Top Bottom