Connection iko ovyo kinoma leo, nikiweka hotspot ndo inakuwa useless kabisa. Wenzangu mnaonaje?
THIS IS FREE WORLD BADILI LAINI... mi utumwa sitaki kabisa wakati ninatoa hela yangu. Wakiwa hovyo nahama.
Tokea jana inasumbua. No coutnnection. ..
Hizi avatar nyingine bana! Dah.