Voda hawatangazi ndani ya JF!?

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Kwa muda mrefun sasa JF imekuwa ikipokea matangazo kutoka makampuni mbali mbali nchini ila nashangazwaa na ukimya wa VODACOM kutangaza kupitia JF kama wafanyavyo kwenye blogu nyingine (michuzi, mohamedi dewji, nk) ikitegemewa kwamba JF ndo blog yenye wapenzi wengi nchini..

Kulikoni mgomo huu baridi wa VODACOM na JF!!!!!!!
 
Thread zingine hazina hoja. Kwani kutangaza biashara hapa au kwingine si ni uamuzi wa wamiliki/waendesha biashara hiyo?
 
Kwa muda mrefun sasa JF imekuwa ikipokea matangazo kutoka makampuni mbali mbali nchini ila nashangazwaa na ukimya wa VODACOM kutangaza kupitia JF kama wafanyavyo kwenye blogu nyingine (michuzi, mohamedi dewji, nk) ikitegemewa kwamba JF ndo blog yenye wapenzi wengi nchini..

Kulikoni mgomo huu baridi wa VODACOM na JF!!!!!!!
Wakitangaza humu watakuja na conditions maana ni kampuni ya mafisadi huu uhuru ulionao wa ku-dare ku-talk open utakuwa kwishnei!!!! Usiombe balaa kaka hatudanganyiki hapa!
 
Kwa jinsi ninavyihisi. sidhani kama JF watakubali kuitangaza kampuni ya KIFISADI.

Voda ina wamiliki ambao sehemu kubwa ni wezi wa rasilimali zetu,
 
Kama hujasikia neno moderation siku za karibuni, wakaribishe Voda (soma rostam) humu JF
 
wakuu ni vizuri tuwe tunazihoji na kuzichallenge hisia zetu. Sio kwa sabbau RA ni fisadi basi tumlaumu au kohoji kwa mambo hana uhusiano nayo. Otherwise sometime we are too biased mpaka tunakuwa sio tena great and constrictive critical thinkers

  • Tujiulize kwa TBL haiwadhamini Taifa star na wanadhaminiwa na Serengeti?
  • Je kampuni shindani mbili zinanaweza kudhamini kipindi kimoja kwenye redio au TV au mtandao?
Hata zain hawajatangaza hapa bila kutoa masharti yao. Ndio maana kuna kitu kinaitwa mkataba
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG

IMG_6995.JPG

IMG_6926.JPG

IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg

DSC_0522.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom