Vocha za TCU zinapatikana benki gani?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Nimeuliza kwasababu,kwenye kitabu cha TCU (ie Student's Guidebook) wameandika zinapatikana NBC,cha ajabu leo nimeenda kwenye tawi moja Arusha,wanadai hawajui kitu kama hcho!
 
hata mimi sizijui lol!!!
ndio nini? naomba elimu kidogo
 
hata mimi sizijui lol!!!
ndio nini? naomba elimu kidogo

Kwa tunaoapply vyuo vikuu kupitia TCU tunalipia Tsh.30000(mwaka jana walikuwa wanauza kadi kama Vocha ambayo unaikwangua na kuingiza namba flani wakati wa kujiregister),wamedai zinapatikana NBC,lakini cha kushangaza,juzi nilienda kwenye tawi moja la NBC Arusha wakadai hawajui kuhusu hicho kitu.
 
Habari zenu wadau!!
Niliwahi kuzungumza na TCU wiki iliyopita kupitia simu, wakasema kwamba NBC ndiyo wameshinda tender ya mwaka huu so ndiyo watauza hizo vocha.
Kuhusu kuchelewa vocha ni kwamba kulikua na matatizo ya kiutendaji baina yao TCU na NBC na wakanishauri nirejee tena wiki hii. Jana tena nimewauliza wakasema bado mambo hayajatengemaa labda mpaka wiki ijayo NBC wataanza kuuza hizo vocha rasmi na TCU watatangaza kupitia vyombo mbalimbali.
Pia niliuliza kama kutokana na huu ucheleweshaji VOCHA je kutakua na kusongezwa mbele deadline ya kutuma maombi pia? wakanijibu kwamba ndiyo atasogezwa deadline pia.
So wadau kuanzia Jumatatu jaribuni kupitia mtandao wa TCU kama kutakua na taarifayoyote rasmi kuhusu hili suala.
Athanteni!:peace:
 
Asante sana kwa taarifa bro! Yaani hadi sasa hivi nipo mjini(Arusha) nazunguka,NBC nimeenda,hawaelewi chochote,CRDB nao wanasema bado hazijaja! Nimeshindwa hata kuwaelewa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom