Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Habari.Vlc PLayer yangu jamani inasumbua kuplay inaniandikia VLC crashed pale tuu ninapotaka kuplay Music au video lakini Kipindi cha nyuma ilikuwa Okey kabisa Nimejaribu kuitoa na kuweka tena lakini Bado inasumbua Msaada plz Thankx.