Vizuka

Vizuka

Nakumbuka nimetoka babati sa 5 usiku, nakuja Dar kupitia singida, mida kama Sa 9 naitafuta manyoni. Naona watu wengi sana mbele wamesimama, Nilikuwa ka 200khr, nilinyoosha goti mpaka nawapita niko 240adometer, harafu sikujua Hata walipotelea wapi. Barabarani usiku mkubwa n marufuku kukwepa chochote
Mkuu usiku kwa odometer reading hiyo lazima upige sport light ya kuona zaidi ya mita 200 vinginevyo akikatiza tembo wa ukweli......
 
Mkuu, hii machine taa zake zina booster, ukifungua n unaona mpaka 280m ahead of you

Mkuu usiku kwa odometer reading hiyo lazima upige sport light ya kuona zaidi ya mita 200 vinginevyo akikatiza tembo wa ukweli......
 
Back
Top Bottom