Vizuka

Vizuka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
attachment.php
 
Attachments

  • 1421653899977.jpg
    1421653899977.jpg
    4.8 KB · Views: 1,898
hii naikumbuka arusha aisee.....tumetoka kula nyama .....saa nane usiku tunarudi tumepakiana vya kutosha.....tukiwa mteremkoni gafla paka akawa anakatiza barabarani........kila mtu akawa anasema kwa jina la Yesu......uzuri dereva alituambia usiku uwa hakwepi kitu barabarani......chochote yeye anagonga tu........ndiyo ponea yetu vinginevyo tungekufa.....mana yule paka baada ya kuona gari linamfwata alirudi alipotoka.....
 
Na hata kama msingemgonga ila mkamruhusu avuke mngeisoma huko mbele ya safari! Hata siku moja usikubali kunguru au paka akatishe Barbara mbele yako
 
Kunguru! Barabarani! Kafuata nini?
 
Na hata kama msingemgonga ila mkamruhusu avuke mngeisoma huko mbele ya safari! Hata siku moja usikubali kunguru au paka akatishe Barbara mbele yako

Imani zenu hizo za kishirikina ndizo zinazosababbisha madereva wengi kugonga wanyama huko kwenye mbuga za wanyama; kwani SIMBA ni mbwa mkubwa!!
 
Bulesi ninaochoongea ni kitu halisi na mifano binafsi ninayo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom