Vizuka

Vizuka

Na hata kama msingemgonga ila mkamruhusu avuke mngeisoma huko mbele ya safari! Hata siku moja usikubali kunguru au paka akatishe Barbara mbele yako
Mkuu mshana jr mimi iliwahi nitokea huko Mwanza miaka mingi kidogo.
Ila ilikuwa mgambo na bunduki, wa kweli.
Saa sita na gari ya umma tumetoka kunywa maji kibao.
Jamaa aliposimamisha nnikakaribia , nilipokuwa karibu nikazima taa na kupiga resi kali na gari ikaruka .
Nilimwona mgambo akisevu maisha yake wajati mi natokomea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom