Viziwi Special thread

mkuu kuwaita wasiosikia ni kosa, wanaitwa Viziwi na ndio maana kuna chama cha viziwi na hakuna chama cha wasiosikia.
Wazo la kuanzisha uzi huu ni jema ili angalau watu waweze kumfahamu kiziwi na kila mwenye swali aweke hapa atapata maelezo kuhusu ukiziwi.
Hoja yangu ni kutaka kujua kuwa kwanini viziwi hasa wa chavita makao makuu ni matajiri sana na wako vizuri kiuchumi wakati jamii kubwa ya huku chini ni maskini? Je wanautumia ukiziwi wao kama mtaji au?
 
pouwa@bitoz haina noma na wakija nisaidie kujua kwanini lugha ya alama imefanywa kuwa mtaji binafsi kwa viziwi wachache? Yani mwenye ruhusa ya kufundisha lugha ya alama tz nzima wako sijui wanne tena wote wanatoka makao makuu.
Kwanini hamtoi fursa kwa wanaosikia kama wakalimani wazoefu wapewe nafasi ya kufundisha hii ligha wakati mnajua umuhimu wake. Kwa kuishikilia wenyewe mnazani itakua kweli? Pambana nipate majibu
 
swali zuri nilitaka kuuliza na mimi
 
Mkuu ungeanzisha uzi kwa walemavu wote labda ingekua poa zaid...unaonaje?

Mkuu...
Hapa sasa naona umeenda mbali zaidi, maana jana tu kuna mdau alisema kwamba hata vibamia ni sehemu ya ukemavu wa kuzalia.
Akasema eti wavumiliwe tu
 
Hilo nalo neno so nianzishe mpya au tubadili jina LA uzi kisha niedit maelezo ?
Ni jambo Jema sababu Umoja ni nguvu

Mkuu....
wazo la VIZIWI nadhani linatosha kabisa, zaidi utafanya baadhi ya marekebisho kutokana na muitikio pamoja na mawazo ya wadau mbalimbali
 
Hapa tunakaribisha watu wrote bila kujali Aina ya ulemavu au hawana ulemavu naamini huu ni mwanzo mzuri tu

Sawa mkuu.
Lakini naomba nikuulize na samahani kama utakwazika.
Wewe ni Kiziwi?
 
Kaka nimeanzisha thread sababu unajua tuna changamoto nyingi maishani inasikitisha mtu unaenda chuo kusoma unakuta walemavu Wa macho ni wengi kuliko sisi yaani tupo nyuma sana inabidi sisi wenye nafuu kielimu tusaidie kuwaelimisha au kuwapa darasa wadogo zetu ambao wanaanza safari yao ya kielimu NA hata kujullishana sehemu/ taasisi au shule zenye mazingira rafiki kwao
Safi sana hii ni mojawapo ya nyuzi zilizoitendea haki JF
 
Bitoz bado sijapata majibu kwa maswali niliyouliza kuhusu lugha ya alama. Mfano mtu anaesikia lakini anajua lugha ya alama akimfundisha mtu mwingine lugha hii viziwi wanachukia kwa kusema kuwa anaeweza kufundisha lugha hii ni kiziwi tu je pana ukweli hapa
 
Asante kwa uzi.....mie ngoma zangu za masikio zinamatobo je? CHAVITA MNANISAIDIAJE ILI ZIZIBWE?
 
Mkuu mwanzo ni mgumu wadau bado hawajui km kuna hii thread humu hivyo nalazimika kujibu karibu kila post...km upo DSM cheki ratiba ya CHAVITA hapo juu halafu ujitahidi kuhudhuria au wasiliana na mwenyekiti Wa CHAVITA mkoa wa DSM kwa # 0715 071 934
Nipo Shinyanga
 
Nipo Shinyanga
Hata huko nahisi kuna tawi la CHAVITA mkoa jitahidi kumtafuta au kuwasiliana na huyo mwenyekiti Wa DSM ili akupe/akusaidie mawasiliano ya CJAVITA mkoa wako
 
Bitoz sio sheria rasmi lakini inafahamika hivyo chavita makao makuu imeandaa walimu wachache sana ambao hao ndo kama wenye hatimiliki ya lugha ya alama. Wakiskia mtu mwingine tu ameanzisha mafunzo ya hii lugha wanakuja kukataza wakisema kuwa mtu anaesikia hawezi fundisha lugha hii hebu fatilia then utupe muongozo
 
Mkuu...
Hapa sasa naona umeenda mbali zaidi, maana jana tu kuna mdau alisema kwamba hata vibamia ni sehemu ya ukemavu wa kuzalia.
Akasema eti wavumiliwe tu

haha duh so ihalalishwe rasmi wenye vibamia nao waingie kwenye kundi la ulemavu .smh
 
Bitoz sio sheria rasmi lakini inafahamika hivyo chavita makao makuu imeandaa walimu wachache sana ambao hao ndo kama wenye hatimiliki ya lugha ya alama. Wakiskia mtu mwingine tu ameanzisha mafunzo ya hii lugha wanakuja kukataza wakisema kuwa mtu anaesikia hawezi fundisha lugha hii hebu fatilia then utupe muongozo
Poa mkuu tusubiri wajuzi waseme kuhusu hili suala sababu mimi sina uwezo wa kufahamu kila kitu
 
Mkuu...
Hapa sasa naona umeenda mbali zaidi, maana jana tu kuna mdau alisema kwamba hata vibamia ni sehemu ya ukemavu wa kuzalia.
Akasema eti wavumiliwe tu
Ha ha haaa vibamia c ulemavu bwana uwe serious mda mwingine
 
Back
Top Bottom