viwanjani weekend hii

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
jamani sio mbaya ukituarifu utakuwa kiwanja gani weekend hii na kama ikiwezekana utakua na nani pande hizo.!! kama upo lonely ndo usisite kabixa kuomba kampan...
ka kawa weekend yangu ndo naianzia xa hiz mitaa ya bulz hapa savei ntazid kuwapa updates kila ntakapo change kiwanja mpka j2 nyt, midamida ntakua na untie yenu madame B.!!!:poa
 
mie nitakuwa viwanja vya mnazi mmoja, kisha sabasaba, nitamalizia na uwanja wa taifa
 
Junior. Cux hapo utakua ndani au nje?...kuna kisofa hapo ndani huwa napenda sana kukaa...kama vip unicheki...ntavaa ile kombati yangu leo...
 
Last edited by a moderator:
kesho wadau tukutane fish fish mlimani city kwenye mtanange
 
Junior. Cux hapo utakua ndani au nje?...kuna kisofa hapo ndani huwa napenda sana kukaa...kama vip unicheki...ntavaa ile kombati yangu leo...

sawa mkuu, ila mi pozi langu ni nje niwe naosha macho hapa... ntakuona humo ndan nkutoe ata glass moja ya red wyne
 
Last edited by a moderator:
Kwa wapenda reggae na mpira..
Viwanja vya kijitonyama nafikiri patatufaa!
 
nipo pande za kwetu za kujidai makumbusho ila hili jina li baa limesha nivuruga sasa...eti "simba kapakatwa pub"...kah hivi huyu mmiliki aliwaza nini?? mimehamia breakPoint hapa napata kili bariidii.....karibuni
 
jamani sio mbaya ukituarifu utakuwa kiwanja gani weekend hii na kama ikiwezekana utakua na nani pande hizo.!! kama upo lonely ndo usisite kabixa kuomba kampan...
ka kawa weekend yangu ndo naianzia xa hiz mitaa ya bulz hapa savei ntazid kuwapa updates kila ntakapo change kiwanja mpka j2 nyt, midamida ntakua na untie yenu madame B.!!!:poa

wivu cna ila roho yauma,kwan ushaondoka da rock ct Junior. Cux?
 
Last edited by a moderator:
me naanzia CCM KIRUMBA STADIUM then NYAMAGANA mwisho MAGOMENI then kulalaaa. COME ONE, COME ALL!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom