viwanjani weekend hii

viwanjani weekend hii

jamani sio mbaya ukituarifu utakuwa kiwanja gani weekend hii na kama ikiwezekana utakua na nani pande hizo.!! kama upo lonely ndo usisite kabixa kuomba kampan...
ka kawa weekend yangu ndo naianzia xa hiz mitaa ya bulz hapa savei ntazid kuwapa updates kila ntakapo change kiwanja mpka j2 nyt, midamida ntakua na untie yenu madame B.!!!😛oa

Waooo...!!! Junior. Cux so Mmwaaa....!!!
He! Badae? Embu nambie nitupie nini,mana nilikuwa nimelala...!!
 
Last edited by a moderator:
Waooo...!!! Junior. Cux so Mmwaaa....!!!
He! Badae? Embu nambie nitupie nini,mana nilikuwa nimelala...!!

yeah badae ka kawaida.. we tupia kale kaskrt kako kafupi au kile kigaun kidogo dogo.!!
 
Last edited by a moderator:
Junior. Cux kasketi gani hako?
Kale ulikonunua wewe au alikonunua mwenzio,si kale ka blu blu hv au?

achana na lile gunia alonunua yule masikin.. Pga kale kasket ulikokachukua born to shine, usisahau na ile top ya pink sasa
 
Last edited by a moderator:
pga ule mguu wa purple.. maana ule mchuchumio nomah.!!
 
Mi nadhani kongosho akinikubalia ntazuka nae fairway tegeta au budget resort bahari beach. Akinikatalia nazuka mahaba beach ununio kula kaupepo ka bahari huku natafakari makali ya maisha!
 
He! Junior. Cux katoni haitoshi mamaa weee...!!!
Asa dear unataka ufidie na mahari yako au?
Jr tutaenda Sinza?

jaman myn mbona sikuzile tulibakiza moja tu, hope leo itaisha yote.!! Mahari yako nshaimalza zaman tu..
 
Last edited by a moderator:
jaman myn mbona sikuzile tulibakiza moja tu, hope leo itaisha yote.!! Mahari yako nshaimalza zaman tu..
Junior. Cux jamani,unankoshaga hapo tu.
Sasa hii pete ya uchumba nitakaa nayo kidoleni mpaka lini?
Wajanja watakuzidi kete ohoo..!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom