viwanjani weekend hii

Hapa tupo white highlands bila shaka best climate in the world. Usiku mchanga bado. Tribute to Lady Donna, muziki wake playing smoothly in the background. Bila shaka mambo yatachangamka baadaye. Keep in touch.
 
nsharud kitambo. . btw villa co kiwanja changu. me kwangu hunters,conteiner na kwa mushi opp magnum!
 
mi niko zangu uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Zenj au wapi! Vipi habari ya Gym kana kwa Kimti, vipi fuji, vipi kamflaji kwa kapiteni, vipi Bwawani pale Jamani. "Exile" is not amputation the secret is keeping the lid of awareness shut,not rembering the exquisite beauty "nyumbani".
 
Nilikuwa shamba kuvuna, ila sasa nipo free najiandaa kuanza wikendi rasmi. Kama kuna mwanaJF pande hizi za Kavifuti anitafute.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom