Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Umenikumbusha mbali sana😂😂😂😂. Aisee hapo Kwa macheni nilikuaga napasikia. Sasa wakati nabukua muhimbili nikawa Kwa swaiba wangu kimara temboni tunapombeka ilipofika saa moja ikabidi nijirudishe Chuo. Nikiwa kwenye daladala na pombe zangu akili ikanijia kunasehemu inaitwa Kwa macheni shuka hapo uangalie totozi. Ebwanaeeee nikadrop pale nikaingia nikaagiza kilimanjaro moja. Kilichonishangaza naona kidume kinanikonyeza, aisee wakati najitafakari hv jamaa alikuwa ananikonyeza Mimi au mwingine ghafla naona bia ya nyongeza naletewa nahoji mbona sijaagiza nyingine naambiwa yule mkaka kakununulia. Ilibidi nijikatae mapema na ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kufika Kwa macheni

Ungepakwa mafuta mkuu. 😁
 
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club, Sinza Mori.
9. Club Billicanas, Jamhuri/ Mkwepu Street,City Centre.
5N ilianzia Kimara Suka kabla ya kuvunjiwa jengo walilokuwa wanatumia nq kuhamia opp na Mcity.
 
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club, Sinza Mori.
9. Club Billicanas, Jamhuri/ Mkwepu Street,City Centre.
Randa bar, Kigogo..!! Jina limebaki kuwa ka kituo cha daladala
 
wanapewa headphones
Wangapi humu waliangalia Cinema bubu pale DRIVE IN Cinema msasani ulipo ubalozi wa Marekani hivi sasa wakiwa wamesimama nje na kukodolea Ukuta mkubwa (screen)
Mfano wa drive in cinema ilikuwa kama hivi wanaingia wenye magari na magari yao ,hawashuki wanapewa headphones sasa kina yakhe ambao hawajaingia wao wanaona picha wakiwa nje ila hawasikii sauti .watoto wa biafra,mwananyamara,msasani ilikuwa huwakosi kwenye hizo cinema za bure
View attachment 2943230
wanapewa headphones ?????kaulize vizuri aliyekuadithia,head phone at that time,kulikuwa na speakers zimesimishwa along parking spaces
 
Back
Top Bottom