Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Kuna zaidi ya polisi 200,na wameanza kupakia viti na tent zilizoko hapa uwanjani,kuna uwezekano wa polisi kuendelea kulinda uwanja wa NMC ili kuzuia umma
Nazan polis wamecheza sana na mda kwa mda ule walio wasil pale wananch weng walikuwa wamepungua na fujo kubwa za wezatokea kuanzia saizi maana wa2 weng wapanga kujib mashambuliz walau hata kwa kuua polic hata 1.Kuna kund kubwa sana hapa la vijana wanadiscuss ni vip watalipa kisasi.
vurugu za niniNazan polis wamecheza sana na mda kwa mda ule walio wasil pale wananch weng walikuwa wamepungua na fujo kubwa za wezatokea kuanzia saizi maana wa2 weng wapanga kujib mashambuliz walau hata kwa kuua polic hata 1.Kuna kund kubwa sana hapa la vijana wanadiscuss ni vip watalipa kisasi.
utakua lini?au uko kwny lile kundi alilosema David Cameroon?polisi wamejipanga wewe, acha mcheze. Waambie wajaribu wauone moto.
polisi wamejipanga wewe, acha mcheze. Waambie wajaribu wauone moto.
Watu hawajaangalia tu kama risasi zingekuwa zinanyamazisha watu Gaddafi angeendelea kuwepo na waandamani ya Yemen na Syria wangeacha.. wanalazimisha wananchi kuvuka mstari wa aidha kuchagua maisha au kifo.. hekima ndicho kitu pekee ambacho bado tunakihitaji zaidi kuliko kitu kingine chochote.
Kwahiyo umma umeshaondolewa na polisi mia mbili?Kuna zaidi ya polisi 200,na wameanza kupakia viti na tent zilizoko hapa uwanjani,kuna uwezekano wa polisi kuendelea kulinda uwanja wa NMC ili kuzuia umma