Ngoja natinga hapo uwanjani c muda mrefu kuanzia sasa tarajieni mapya.
bado mvua ni nyingi sana huku arusha, lakini naona pametulia kidogo. Ndio nakaribia nmc
Itabidi wananchi waongezeke zaidi.Ni lazima wazidiwe na nguvu ya umma.Ni kweli tumepigwa sana,na kwa sasa bado nipo hapa uwanjani kuna askari wengi mno