Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Viwili vipo Mikindani Ufukweni kabisa kila kimoja ni ekari 1.5.. Kaskazini kinaface Pemba Peninsula, Mashariki kinatazamana na fukwe za Naf Blue View Hotel na Magharibi kunaangaliana na Old Boma Hotel na mji wote wa mikindani. Panafaa kujenga Hotel au uwekezaji wa Beach. Bei ni nzuri sana..
Vingine vipo Msangamkuu nako pia vipo ufukweni..
All in All kwa dili zote za viwanja mji wa Mtwara unaweza ukaniPM tukafanya biashara..
Vingine vipo Msangamkuu nako pia vipo ufukweni..
All in All kwa dili zote za viwanja mji wa Mtwara unaweza ukaniPM tukafanya biashara..