Viwanja vinauzwa eneo la kiseke B Mwanza Wilaya ya Ilemela

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Habari za jpili.

Nina viwanja vitatu vipo pamoja vyenye ukubwa wa 15 x 30 sq meter, eneo la kiseke B. Maji na umeme vipo jirani kabisa na vilipo viwanja. Bei ya kuanzia ni 7m maelewano yapo kwa anayehitaji.

Tuwasiliane kwa 0717008685.
 
Unaviuza vyote kwa pamoja kwa milioni saba au kila kimoja milioni saba? Vina hati? Maanake hawa jamaa wanabomoa maeneo ya wazi yaliyojengwa,tunaogopa kushikishwa
 
Mkuu hivyo viwanja vimepimwa? Na kwa vile umesema viwanja viko pamoja hiyo bei ya milioni saba uliyotaja ni kwa viwanja vyote vitatu au ni kwa kila kiwanja?
 
Unaviuza vyote kwa pamoja kwa milioni saba au kila kimoja milioni saba? Vina hati? Maanake hawa jamaa wanabomoa maeneo ya wazi yaliyojengwa,tunaogopa kushikishwa
Mkuu naona tumekuwa na maswali ya aina moja kwa muda mmoja. Safi sana.
 
Back
Top Bottom