Viwanja na mashamba yanauzwa bei rahisi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja na mashamba yanauzwa bei rahisi.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mamabaraka, Jan 16, 2012.

 1. m

  mamabaraka Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vipo Cchanika, viwanja miguu 35 kwa 25 milioni mbili. Mashamba hekari moja milioni mbili. Viwanja viko sehemu nzuri kuna mchanga mweupe palepale. Yani hununui mchanga. Na mashamba ni udongo mwekundu wenye rutuba. Unastawisha mahindi, mihongo na matunda aina zote. Mwenye kuhitaji anipm tuongee.
   
 2. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mlioko Dar changamkieni
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,275
  Trophy Points: 280
  Achana Na biashara ya miguu, kwanza miguu inatofautiana kati ya mtu na mtu,
  ukivipima kwa meta ni ukubwa gani????
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mashaka ni wapi
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hebu tueleze mkubwa huko mashaka ni wapi?Tunakuhitaji sana huko mkubwa!usikute ni mlimba kijijini.
   
 6. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  nadhani alikuwa ana maanisha mashamba!!
   
 7. m

  mamabaraka Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni viwanja na mashamba kwa anayehitaji yapo chanika kijiji kinaitwa Homboza ni mwendo wa kama km 8 kutoka chanika center, kwa sababu mi sio dalali nami nimepata huko. Anaekubaliana na umbali atembelee huko.Pia bei inapoa na wanakijiji ni wakarimu sana.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Chukua Mmasai akakupimie......:eyebrows::lol:
   
Loading...