Viwango vya mshahara serikalini degree 1


Fact kabisa....Mfano ni Taasisi Moja apo uliyoitajaaa : Mtu wa degree ambae ndo anaingia kazn anakunja 1.5 , so inategemeaa
 
Vip madereva wa su,stj,
inategemea yupo taasisi gani...mfano hiyo taasisi iwe ni ya miradi mfano tanesco anakunja hadi milion 2 lakini pia awe kwenye hiyo idara yenye safari nyingi mfano transmission ...ila halmashauri ni njaa kali last time niliona wanapewa 310,000Tsh wanaoanza
 
Mmmmh....! Kuna itajika ufafabuzi zaidi...

Hata majeshini (polisi, magereza, uhamiaji, jw etc) wanapata zaidi...

Mshahara kuanzia 780,000/- kama sijakosea
Pesa ya chakula kila katikt ya mwezi 300,000/-
Pesa ya taaluma 200,000/-
Pesa ya nyumba 200,000/- hadi 500,000/-
Pesa ya umeme 40,000/-
Pesa ya maji
Bonus kibao...

Ukijumlisha ni mapesa marefu wana pokea pamoja na kuishi kifukara...

Pia bado trip za nje ya kituo cha kazi nk... Bonus ni nyingi
 
Kuna uongo mkubwa sana hapa.
 
Engineer mbn hajatendewa haki kbx inakuwaje engineer awe na maisha ya juu kumzid dakitari while salary scale ya Dr iko juu
Hujamuona mwalimu hapo mkuu? Fikiria mwalimu wa Physics, Chemestry, Mathematics, Biology ana degree halafu analipwa less than 1,000,000/=? Hu ni mzaha kabisa. Ndio maana walimu wa sayansi ni adimu sana kwenye mashule za serikali, sababu ni kama hi, yaani hi ni dharau kabisa jamani. Kama kweli serikali haina pesa, kwanini tunawekeza sana kwenye siasa? Binafsi napendekeza, kama hatuwezi kupunguza mafao ya wana siasa, basi tupunguze idadi ya vikao vya wabunge, wakutane hata mara 2 tu kwa mwaka. Haingii akilini mbunge analipwa kitu kinaitwa eti sitting allowance wakati hiyo ndio kazi yake. Kwanini umlipe mtu allowance kwa kufanya kazi yake? Basi hata walimu nao walipwe teaching allowance
 
Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Mfamasia umedanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…