Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Weken mahesbu ya mwalimu anaeanza kaz ngazi ya degree pia ana loan kutoka Heslb take home itakuwa bei gan wakuu
Hata huko helb pia makato yanatofautiana mana kuna waliokopeshwa 70%,80% au 100%. hata huyo mwalimu mwenye mkopo 100% bado wanatofautiana makato.mfano mwalim alosoma BED SC makato yake n tofaut na mwalmu wa BED PSYCHOLOGY kwa sabab wanatofautiana hela zao za field.
 
Safari ni ndefu loh
 
Ni kweli kabisa
 
Kwani CPA INA nini?
Na Mimi nikuulize unaijua MD wewe?
M.D popote pale utakapoajiriwa naye lazima akuzidi kwa salary scale hata ukiajiriwa na MD pale MSD mtu mwenye MD atalipwa scale kubwa kuliko ww CPA
CPA ina standards zake. Walio nayo na wanaifanyia kazi watakuelezea
 
Mkuu Nipigie sehemu pande hata niwe foreman wa mkandarasi ,
 
Nina interest ya kujua mshahara
Mwalimu
Dakitari
Muuguzi
Mfamasia
Mhandisi ngazi ya halimashauri
Mwanasheria
Mhasibu
N.k
Mshahara hutofautiana kulingana na ofisi iliyokuajiri. Hivi unajua kuna taasisi mtu mwenye diploma anafanana mshahara na mtu mwenye master's? .
Labda kwa scales za serikali kuu wale wanatumia tgs ndio hulingana
 
Sijaajiriwa mkuu. Mana nisingekuomba kama sehemu unapajua unipigie pande niwe hata foreman wa mkandarasi.
Naomba uni dm namba yako, niisave kabisa,kuna wahandisi kama wawili ntaongea nao kama ikitokea chance au project basi watakustua siuko registered as PE or GE?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…