Vivo ni moto

Vivo ni moto

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
429
Reaction score
578
Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone.

Asante na wasilisha.

Cc chief Mkwawa
 
Nilikuwa naicheki Vivo X60 Pro jana. Wameitoa hivi karibuni hata baadhi ya masoko haijafika.

Wana partnership na Zeiss mabingwa wa camera technology. Camera sensors wamechukua kwa Samsung na wametoa simu kali sana kwa camera integration. Ni midrange ila inabamba sana. Ina makosa madogo kama screen resolution sio kali sana kama hizo Samsung S21 na Oppo Find X3.

Cheki pia OnePlus wameshirikiana na Hasselblad kutoa OnePlus 9 Pro nayo ni hatua kubwa sana tofauti na zilizopita. Testing kadhaa nimeona inatoka suruhu na iPhone 12 Pro kwenye camera.

Processing power sioni tofauti kubwa kwa maana wote high end mwaka huu wanachukua Snapdragon 888, RAM una options za 6/8 na wengine 12, memory una hata 250 GB sometimes na option ya kuongeza card hasa Xiaomi wanaipenda.
 
Pitia huo☝️ uzi utakuja kunishukuru
 
NAIPENDA MNO ONE PLUS NIMETAFUTA DAR SIJAPATA
 
Zinadumu ila ziko overpriced kulingana na simu nyenzake zenye uwezo sawa. Kwa wapenda status kama nyie wadada zina shida kidogo sana kwenye camera zake ukipost kuna quality flani zinakosa. Kama sio mtaalamu wa picha huoni.

Ni simu nzuri sana na ukiwa nayo ni wewe peke yako mtaani. Ukiweza agiza nje ila fuata maelekezo usije chukua version isiyo.

Tomaa Mireni zile blurs za mbali kwenye camera kwako hazipo? Hasa kwenye WhatsApp status au ukituma picha
 
shida ni hapo kuagiza nje

yaani shipping cost zinanipa stress

najiona nikichukua 7plus bila kupenda
 
Mkuu hivi ni simu gani kwa sasa ni nzuri au zipo kwenye wakati kwa sisi wenye bajeti isiyozidi laki tatu?
Xiaomi redmi 9 mkuu, sema kuipata kwake ni Kenya. Ni redmi 9 na sio 9c ama 9A.

Pia sometime redmi 9T (nzuri kushinda zote hapo juu) inashuka mpaka hio bei kwenye sale, ila Kikawaida hii 9T inakuwa around 350,000
 
Zinadumu ila ziko overpriced kulingana na simu nyenzake zenye uwezo sawa. Kwa wapenda status kama nyie wadada zina shida kidogo sana kwenye camera zake ukipost kuna quality flani zinakosa. Kama sio mtaalamu wa picha huoni.

Ni simu nzuri sana na ukiwa nayo ni wewe peke yako mtaani. Ukiweza agiza nje ila fuata maelekezo usije chukua version isiyo.

Tomaa Mireni zile blurs za mbali kwenye camera kwako hazipo? Hasa kwenye WhatsApp status au ukituma picha
Hazipo boss
 
Pitia huo☝️ uzi utakuja kunishukuru
Shukrani kiongozi
 
Pitia huo☝️ uzi utakuja kunishukuru
Shukrani mkuu nimekusoma
 
Nilikuwa naicheki Vivo X60 Pro jana. Wameitoa hivi karibuni hata baadhi ya masoko haijafika.

Wana partnership na Zeiss mabingwa wa camera technology. Camera sensors wamechukua kwa Samsung na wametoa simu kali sana kwa camera integration. Ni midrange ila inabamba sana. Ina makosa madogo kama screen resolution sio kali sana kama hizo Samsung S21 na Oppo Find X3.

Cheki pia OnePlus wameshirikiana na Hasselblad kutoa OnePlus 9 Pro nayo ni hatua kubwa sana tofauti na zilizopita. Testing kadhaa nimeona inatoka suruhu na iPhone 12 Pro kwenye camera.

Processing power sioni tofauti kubwa kwa maana wote high end mwaka huu wanachukua Snapdragon 888, RAM una options za 6/8 na wengine 12, memory una hata 250 GB sometimes na option ya kuongeza card hasa Xiaomi wanaipenda.
Asante kwa kutoa mwanga
 
Back
Top Bottom