Vivek Ramaswamy ni nani haswa?

Dunia ina umri gani? Kwani mabadiliko ya hali ya hewa ni nini? Mabadiliko uhusisha kupanda na kushuka. Ila naona umeegamia upande wa siasa sana
Dunia ina Miaka billion 4.5 binadamu ameanza kuwa intelligent kama Miaka million 2 na ushehe hivi...

Binadamu ameanza shughuli za viwanda na maendeleo yote unayoona Leo yanamiaka kama 600 tu, mfano magari yameeanza kama Miaka ya 1900s only last 100 years ago...
 
Una ujuzi wowote kuhusu hali ya hewa? Hata kama si mkubwa angalau wa kuelewa jinsi ambavyo hali ya hewa inavyoathiriwa na shughuli za kibinadamu.
 
Miaka 600 kwako haitoshi kuharibu mazingira?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nataka kujua hayo matukio tofauti ni yapi?
Mimi ni Geologist na nimesoma Environmental Geology+History of the Earth(Nakushangaa ukisema binadamu hahusiki kwenye climate change), naomb nijulishe hayo matukio
Ok... Tujadili kisayansi.. Rodinia au Pangea kipi kilianza
Una ujuzi wowote kuhusu hali ya hewa? Hata kama si mkubwa angalau wa kuelewa jinsi ambavyo hali ya hewa inavyoathiriwa na shughuli za kibinadamu.
Sina ujuzi wa hali ya hewa ila Nina ujuzi wa Physics.

At some point in time solar system ilikuwa very young and very unstable na Dunia yetu ilikuwa inagongana na Sayari zingine ndogo ndogo, mfano Theia iliyosababisha kutokea mwezi, katika vipindi hivi Dunia Ndio ilikuwa na active geological activities.

Kitu ambacho Watu wengi hamzungumzii ni kuwa natural occuring activities kama Volcanic erraption zinachangia kwa kiwango kikubwa kuzalisha greenhouse gases kuliko human activities, Ndio maana Venus is very hot kuliko any planet on solar system, sababu at some point in time ilipata very big Volcanic erraption iliyochangia greenhouse gases kwenye ozone layer yake
 
Pangaea kwangu ni kama fallacy tu! Sihamini chochote kuhusu evolution na jinsi vitu vilivyobadilika na kufikia hapa tulipo kama havina backup ya kutosha.

Unaposoma kuhusu jambo husika hautakiwi kupotezea jambo ambalo linatokea hata kama linatokea kwa kiwango kidogo. Kwani kulipuka kwa volkano hutokea kila mara kama ambavyo magari yanatoa hewa ukaa kwenda angani?
 
Miaka 600 kwako haitoshi kuharibu mazingira?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Miaka 600 ni mingi sana kwetu binadamu ila kwenye scale ya Dunia na solar system au hayo mabadiliko ni Miaka michache sana,

Mfano kwenye Jupiter kuna dhoruba/upepo ambao ulirekodiwa kwa mara ya Kwanza Miaka zaidi ya 600 na hadi Leo haujaisha...

Binadamu we are very intelligent, but effect yetu ni kama mchwa kwenye Dunia.

Hata Leo tuamue kulipua nyuklia zetu zote tulizonazo, Dunia haitayumba Ndio Kwanza tutaifanya iwe ya Baridi kwa Miaka 20 na baada ya miaka 1000 radiation zitakuwa zimeisha, Dunia itakuwepo, maji yatakuwepo
 
Pangaea kwangu ni kama fallacy tu! Sihamini chochote kuhusu evolution na jinsi vitu vilivyobadilika na kufikia hapa tulipo kama havina backup ya kutosha.

Unaposoma kuhusu jambo husika hautakiwi kupotezea jambo ambalo linatokea hata kama linatokea kwa kiwango kidogo. Kwani kulipuka kwa volkano hutokea kila mara kama ambavyo magari yanatoa hewa ukaa kwenda angani?
Sasa kama huamini Sayansi kwa nini unaamini Climate change
 
Vp kuhusu barafu zinazo yeyuka huko Kwenye ncha za dunia+kuongezeka kwa Kina cha bahari?
Mkuu si mara ya mwaza global warming kutokea. Ilishatokea 92 million years ago hata kabka ya binadamu kuwepo. Wengine wanadai dunia ínapítia mzunguko ambapo hali hubadilika hata bila binadamu kuhusika.
 
Biandamu tusijupe umuhimu tusiokuwa nao katika hii dunia, hatuna uwezo wowote wa kubadili chochote katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi. Sisi ni kama tone tu katika dunia.
 
Back
Top Bottom