Kwa mara ya kwanza niliziona video za mahojiano yake kwenye mtandao wa video wa Youtube, huko alikuwa akitoa shutuma nzito kwa Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden akidahi mtoto wa Biden alipokea hongo kutoka nchi ya Ukraine.
Baada ya kuingia google nimepata machache; huyu ni mwanachama wa chama cha Republican Party cha nchini Marekani (U.S). Vivek alizaliwa eneo la Cincinati,Ohio, U.S mwaka 1985.
Kielimu, Vivek ni mhitimu wa chuo cha Harvard alikosomea digrii ya Sanaa (Arts).
Kilichonifanya nije kuuliza kumhusu ni baada ya kuona kauli zake nzito nzito zidi ya Marais waliopita na shutuma za Biden. Hizi allegations anazoziinua mbele ya kamera ni nzito sana.