Nashindwa elewa kwanini TTCL imekufa na hata kusimama haisimami...
Inakuwaje nchi tunaikaribisha kampuni ya Kijeshi ya nchi nyingine kuja kuwekeza kwenye mawasiliano nchini kwetu?
Hii nchi akili hatuna... na bado kuna wengine wataichagua CCM...
TTCL yafaa
Hao Halotel wajiandae kisaikolojia maana upinzani wa Tigo, Voda, Airtel ni noma sana