Viungo gani vinafanya nyama kuwa laini na yenye ladha?

Viungo vya kitoweo cha nyama ni tofauti na kitoweo cha samaki.

Samaki ni laini usipokuwa makini analegea nakumomonyoka.
 
Ukishaosha Nyama yako weka Tangawizi, Kitunguu Swaumu, Ndimu na Chumvi chemsha bila kuweka Maji hadi itakapoanza kukaukia ndiyo uweke Maji.
 
Nikukute ghetto
Ebu acha kunidhalilisha. Hiv wengi humu wanazaniaga mm dem et!?
Mm ni ndio hako 👇👇👇kakuni
IMG_20211003_151459.jpg
leo ngoja nijioneshe tu
 
soya sauce tangamwizi limao au siki na plpl manga..iloweke km lisaa au iache ilale nayo ndani ya frij km ngumu sana.
Hii ndio njia yangu kabisa.

Nyama yangu ya ng'ombe steki tupu nusu.

Ndimu tano.
Chumvi kijiko kimoja.
Tangawizi ukubwa wa dole gumba mbili.
Kitunguu saum punje kumi.

Then naiwacha kama lisaa limoja mpaka mawili.

Kisha naweka jikoni bila kutia maji inachemka,ikiwa inachemka pale voungo vinaingia kwenye nyama.

So inakuwa tamu,ikianza kukauka kwa mbaali wewe unaongeza maji tuu kwa kiasi tu unapata supu na nyama yenye ladha taamu kabisa
 
Huwa natumia tangawizi na kitunguu swaumu...
Unachanganya na nyama then unaiacha hata nusu saa, unaweka jikoni hivyo hivyo bila maji, ikishatokota ndo utaongeza maji..

Then usiweke moto mkali, uwe moderate tu iive taratibu!
Mkuu nyama ukishailoweka kwenye mixer ya ndimu,chumvi,kitunguu saumu,tangawizi nyama ukiiloweka kwa liisaa inakuwa inalainika vizurii na kufanya isikae muda mrefu jikoni inakuwa tayaaaaaaaari kwa kuila
 
Back
Top Bottom