Viungo gani vinafanya nyama kuwa laini na yenye ladha?

Kama ya kuchemsha kwa ajili ya soup au mchuzi ni
1. Limaoau ndimu.
2. Kitunguu swaum.
3. Curry powder.
4.Amaizing mchuzi masala.

Weka viungo vyote changanya iache nyama kwanza iingie viungo.

Kama ya kuchoma weka viungo vya juu vyote ongezea na tangawizi na mafuta ya kula.
Natamani uelezee mwanzo mwisho mpaka supu hiyo iwe tayari
 
Huwa natumia tangawizi na kitunguu swaumu...
Unachanganya na nyama then unaiacha hata nusu saa, unaweka jikoni hivyo hivyo bila maji, ikishatokota ndo utaongeza maji..

Then usiweke moto mkali, uwe moderate tu iive taratibu!
 
Back
Top Bottom