Viungo gani vinafanya mishikaki inukie?

henry normal

Senior Member
Jun 13, 2015
120
31
Katka maPishi ya mishika kunaarufu Fulani ambayo ni mvuto kwa wateja. Je ni viungo Gani uleta LADHA NA MNUKIO PINDI UNACHOMA MISHIKAKI
 
Kwanza utaandaa nyama yako ktk chombo kisha uta changanya ndimu au limao; chumvi; tangawiz; kitunguu thaum;pilipili mtama(unga ) na binzari nyembamba kisha uache mchanganyiko wako kama nusu saa kisha tayari kwa kuoka
 
Umesahau karafuu maiti
 
Waenda kwa waganga utawajua tu.. ... . haya ongeza sanda nyeusi , mbaazi poli na mfinyafinya
 
Unatasaga kitunguu saumu,tangawizi pili pili mbichi utachanganya na nyama tia uzile wa unga mdalasini wa unga bizare funika wacha hvyo kwa dakika kadhaa.
 
Kwanza utaandaa nyama yako ktk chombo kisha uta changanya ndimu au limao; chumvi; tangawiz; kitunguu thaum;pilipili mtama(unga ) na binzari nyembamba kisha uache mchanganyiko wako kama nusu saa kisha tayari kwa kuoka
Kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…