Viunga vinavyobamba Dodoma

Viunga vinavyobamba Dodoma

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,905
Wakuu salaam,

Jiji la Dodoma wengi tunapita hapa tukiwa wageni wa viunga/sehemu/maeneo/joints za huduma mbali mbali, ikiwemo maakuli, bar, huduma za afya na sehemu za starehe. Hotels Nzuri zenye huduma bora.

Tunafahamu wapo wenzetu walio tangulia, tupeni michongo.
Nyumba nazo ni hitaji kubwa kwa sasa,.

Kwa upande wangu naanza na sehemu moja ya maakuli, mbele ya makao makuu ya CCM kama unaelekea Airport, mbele ya mataa ya kuongozea magari barabarani.
Mitaa ya chako ni chako, kuku wa kienyeji wanabanikwa vilivyo, usikose pande hizo.

Kwingine ni house of wine kiwandani Dodoma wine pembeni ya bunge, mvinyo wa kumwaga pande hizo.

Tuendelee kutiririka hapo wakuu.

Kuna garden (imenitoka jina) ipo karibu na airport, jamaa mafundi Sana wa ndizi choma,kaanga au roast na Noah.
Sitasahau.
Home sweet home.
 
Mi mgeni aisee nasubir muweke mambo hapa kaka
 
Wakuu salaam,

Jiji la Dodoma wengi tunapita hapa tukiwa wageni wa viunga/sehemu/maeneo/joints za huduma mbali mbali, ikiwemo maakuli, bar, huduma za afya na sehemu za starehe. Hotels Nzuri zenye huduma bora.

Tunafahamu wapo wenzetu walio tangulia, tupeni michongo.
Nyumba nazo ni hitaji kubwa kwa sasa,.

Kwa upande wangu naanza na sehemu moja ya maakuli, mbele ya makao makuu ya CCM kama unaelekea Airport, mbele ya mataa ya kuongozea magari barabarani.
Mitaa ya chako ni chako, kuku wa kienyeji wanabanikwa vilivyo, usikose pande hizo.

Kwingine ni house of wine kiwandani Dodoma wine pembeni ya bunge, mvinyo wa kumwaga pande hizo.

Tuendelee kutiririka hapo wakuu.

Bado sana hadi waifikie dasalamu
 
Hakikisha kila ukipita hizo sehemu uwe unachekicheki kama utabahatika kumpata MO Dewji!Nakutakia maakuli mema na barza jema!
 
Nipo hapa Chako ni Chako,
Aisee Niliagiza kuku choma nusu imebidi niongeze nusu nyingine
 
Back
Top Bottom