Viumbe vyote chanzo chake ni nishati

Viumbe vyote chanzo chake ni nishati

Wewe siwez kubishana na wewe sababu sio kwangu tu pia nakuonaga ata kwenye post za watu wengine Kaz Yako kubwa ni kupinga tu bila mashiko ujuaji mwingi mbele giza ,siku njema
Hujui hata kama umefanya logical fallacy ya non-sequitur.

Halafu unajiona kwamba unajua.

Kumbe una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote kuunda hitimisho potofu.

Kajielimishe kwanza sio kuandika vitu visivyo na mantiki.
 
Unaamini uchawi upo Lkn hauamini Mungu yupo ni Sawa na kuamini shetani yupo alafu Mungu hayupo..

Ukipataga shida ndo unaomba hizo nishati zikusaidie? Ukiwa kwenye hofu unaomba nishati iwe upande wako?

Mungu yupo acheni ushetani
 
Back
Top Bottom