Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,397
- 9,175
Yaani hawa majini au malaika hawana haja ya kununua luninga sie luninga tosha
Bibiye umekosea njia naona umesoma thread nyingine na umereply thread nyingine"akilewa aseme ujinga"
Wachungaji hamuwezi kufanya mambo yenu bila kuongelea wanywaji, mbona sie tukiwa tunakunywa hatuwaongelei??? π
We jichunguze kiumbe kinatenga 60mn kujichezea nyetiSijui hata umewaza nini nchi ngumu hii..
Mwanadamu ndiye kiumbe mzuri zaidi kuliko vyoteAlafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu ilikuwaje wakati inasemekana wao ni wazuri kutuzidi
Mwanadamu ndiye kiumbe mzuri zaidi kuliko vyoteAlafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu ilikuwaje wakati inasemekana wao ni wazuri kutuzidi
Hapo sawaaaaaaaKatika wazawaza yangu hakika na jua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana
Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga aige na kufanya michezo hatarishii
Alafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu ilikuwaje wakati inasemekana wao ni wazuri kutuzidi
Kingine kiumbe kinatenga 1hr kujichezea nyeti na
kugugumia hahahah wanapata raha sana wanaotutazama
Kingine wakuu et shetani nasikia ni handsome kuliko sisi
Hapo vipi
Ndio ramli chonganishi hearsayThd imetawaliwa na neno Nasikia,
Unasikilia wapi?
Huko tu kwenye pitapita zanguThd imetawaliwa na neno Nasikia,
Unasikilia wapi?
Kwa sura kama ya mandonga mtu kazi kweli na kina onyango nusu mtu nusu chuma aaaa sawa lknMwanadamu ndiye kiumbe mzuri zaidi kuliko vyote
Katika wazawaza yangu hakika na jua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana
Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga aige na kufanya michezo hatarishii
Alafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu ilikuwaje wakati inasemekana wao ni wazuri kutuzidi
Kingine kiumbe kinatenga 1hr kujichezea nyeti na
kugugumia hahahah wanapata raha sana wanaotutazama
Kingine wakuu et shetani nasikia ni handsome kuliko sisi
Hapo vipi
πππ Wangechakaaa kutuzidi na wapewe stress za mapenziMalaika wanaanzaje kutuona wajinga wakati hata njaa tu hawajawahi kui experience?
Kiumbe ambacho muda wote kimeshiba kitapata wapi SI Unit ya kujua ujinga wa mtu?
Hivi kwa mfano huyo Mungu wao akawaambia kuanzia leo mtahisi njaa na mtakuwa mkipata choo kigumu halafu akawakata na yale mabawa wawe wanatembea kwa ngoko
Kumbuka hapo ni njaa tu bila stress za madeni
KwakweliNdio ramli chonganishi hearsay
ππππ Bado wa tuma na yakutolea[emoji23][emoji23][emoji23]asee nmecheka had machz utafikir na mimi ni malaika namwona binadamu kiumbe wa ajabu dog [emoji240] anamtoa nduki
Mara we binadamu umelwewa unayumba road
Kuna kale kahal binadamu tunapenda kutafuta uchizi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Asee sisi et uvute bangi uanze vituko MALAIKA SI KICHEKO HADI ANALIA
Mwanadamu yupi?Mwanadamu ndiye kiumbe mzuri zaidi kuliko vyote