Vituo vya watoto yatima kufungiwa

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
yatima1.jpg

SERIKALI imetangaza kuvifungia mara moja vituo vya kulele watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu nchini kutokana na kukiuka maadili na Sheria ya Haki za Mtoto, Fikra Pevu inaripoti.

Inaelezwa kwamba, baadhi ya wamiliki wa vituo hivyo wamekuwa hawafuatia Sheria ya Haki za Mtoto, badala yake wanavitumia kwa maslahi yao binafsi.

Tamko la azma ya serikali kuvifungia vituo hivyo limetolewa hivi karibuni na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye amesema vituo vitakavyobainika kuendeshwa vinawanufaisha wamiliki vitafungiwa mara moja.

Soma zaidi hapa => Vituo vya watoto yatima kufungiwa | Fikra Pevu
 
Hao watu wa Vituo vya kutetea Haki za Binadamu wako wapi? Inatakiwa wawapiganie watoto hawa na sio kujiingiza kwenye siasa na kukwamisha ufanisi wa Serikali na vyombo vya Dola.
 
Sheria ikiamua kuwabana inaweza, sema kuna kitu flani maana hata wengine wahusika wa kuleee juu,,,,wanafanya unyama huu,,,,so inabaki kuwa TAMKO TAMKO TAMKO hadi kesho TAMKO,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom