Vituo vya Polisi havina wasemaji?

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,938
4,347
Katika hali ya kawaida ofisi yeyote kubwa lazima iwe na msemaji ( spokesperson). Cha kushangaza kila niangaliapo TV kwenye matukio ya uhalifu ambayo Polisi wamefanikiwa kudhibiti. Naona tu ma RPC ndo wasemaji.

Je ofisi hizi za Polisi (Regional Police Headquarters) na ukubwa wote huo hazina wasemaji?
 
Jukumu mojawapo la rpc Ni kuwa msemaji mkuu wa jeshi la polisi ndani ya mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom