Dodoma Demand
Senior Member
- Oct 6, 2021
- 130
- 74
Sasa wafanyeje kama wako kwenye kundi wa MAFICHUKI WACHA WABALIZIKwa maana hio AC za umma zitafungwa ili kupepelea mafisadi watakaokuwa Dodoma?
Ngoja tukupe wewe dola 23,000,000 utafanyia nini!?Hii nchi ina vipaumbele vya kuchekesha sana...
Hii hali ya hewa ndo imeanza mwaka huu? Kabla ya hapo ilileta madhara gani?
Atajaza V8 za rangi zote uwani na kujenga hekalu kisha kufanya umalaya mpaka kifo!πππNgoja tukupe wewe dola 23,000,000 utafanyia nini!?
Ndio vipaumbele hivyo haya mambo ni ngumu sana kuyasikia enzi za kidume toka Chato!Vipaumbele vyetu π€£π€£π€£π€£
KWELI ATATAFUTA DHAMANI YAKE JAPANI.......... MJENGO ATATUACHIA AKIFAAtajaza V8 za rangi zote uwani na kujenga hekalu kisha kufanya umalaya mpaka kifo!πππ
Ntazileta kwenu kama mahari, naoa familia nzimaNgoja tukupe wewe dola 23,000,000 utafanyia nini!?
Ukifa familia yetu inarudi au utaiua!? Maana hata mie familia yangu naweza kukuachia bila fedha maana hatuna CHIMBUKO la neno KIFONtazileta kwenu kama mahari, naoa familia nzima
Dar es salaam mnakula sn ice cream..inapunguza jotoππMbona Dsm kwenye joto miaka yote hawaanzishi hivyo vituo vya baridi?
Naona wanaendelea kutengeneza ma gap watupige tu.
Wa kutoka chato yeye alikua Ni mwendo wa kubuni mambo ya ujenzi tu anajipigia zake mpunga kupitia wakina Kijazih,Mfugaleh,Songoroh,Dotto J etcNdio vipaumbele hivyo haya mambo ni ngumu sana kuyasikia enzi za kidume toka Chato!
Ila ndio wananchi wanayopenda kuyaskia haya.,subirien kusikia hela watu wamegawana kwenye ma v8 kila mtu kakimbia na bil.10
Maji sio kipaumbele kwa Sasa,wazalendo halisi hatuhitaji maji tunataka ubaridi tu.La maji mmeishia wapi?
π€£π€£π€£Atajaza V8 za rangi zote uwani na kujenga hekalu kisha kufanya umalaya mpaka kifo!πππ
Maji sio kipaumbele kwa Sasa,wazalendo halisi hatuhitaji maji tunataka ubaridi tu.