Nenda maeneo ya morogoro wanalima sana vitunguuu...Habari wakuu
Nahitaji kuanza biashara ya vitunguu maji... nianzie wapi..?
Naweza kuchukua mkoa wowote wenye zao hili na nikapeleka mkoa wwt ule wenye uhitaji. muhimu ipatikane riziki tuu...
0654567777