Mahitaji
1)Kuku
2)kitunguu maji 1
3)kitunguu saumu 1 teaspoon
4)tangawizi 1 teaspoon
5)pilipili manga 1 teaspoon
6)pilipili mboga 1
7)baking powder 1 teaspoon
8)mafuta ya kupikia
9)chumvi kiasi
10)mayai 5-6
Namna ya kutaarisha
1)chemsha kuku,weka chumvi,kitunguu saumu na tangawizi...
2)akishawiva vizuri,chambua kuku wako na kumtoa mifupa...
3)weka kwenye blenda kuku,kitunguu maji,pilipili mboga,mayai,chumvi na pilipili manga.....saga kiasi..
4)weka kwenye bakuli safi na uweke baking powder...
5)weka chuma cha kuchomea kwenye jiko
6)fanya kama unavyopika vitumbua vya kawaida
Vitumbua vya kuku tayari kwa kuliwa..