Vitumbua vya kuku


farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,134
Likes
5,553
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,134 5,553 280
Mahitaji
1)Kuku
2)kitunguu maji 1
3)kitunguu saumu 1 teaspoon
4)tangawizi 1 teaspoon
5)pilipili manga 1 teaspoon
6)pilipili mboga 1
7)baking powder 1 teaspoon
8)mafuta ya kupikia
9)chumvi kiasi
10)mayai 5-6


Namna ya kutaarisha

1)chemsha kuku,weka chumvi,kitunguu saumu na tangawizi...
2)akishawiva vizuri,chambua kuku wako na kumtoa mifupa...
3)weka kwenye blenda kuku,kitunguu maji,pilipili mboga,mayai,chumvi na pilipili manga.....saga kiasi..
4)weka kwenye bakuli safi na uweke baking powder...

5)weka chuma cha kuchomea kwenye jiko
6)fanya kama unavyopika vitumbua vya kawaida


Vitumbua vya kuku tayari kwa kuliwa..
 

Attachments:

farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,134
Likes
5,553
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,134 5,553 280
MziziMkavu mimi49 King'asti Angel Nylon Afro-Arabica Ennie Swts Jerrymsigwa BAK SHERRIF ARPAIO measkron Chocs Ablessed Fixed Point amu life is Short....
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Likes
405
Points
180
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 405 180
sina hicho chuma cha kuchomea tu!!
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,621
Likes
118
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,621 118 145
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,988
Likes
5,381
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,988 5,381 280
Aahhahahaha hio njia ya wapi usofika?
Ninakuja na ndege nipo mjini London nitafika huko kwako kesho asuıbuhi ningojee usilale tu maana wewe kwakupenda kulala mapema kazi kweli ipo.
 
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
2,282
Likes
236
Points
160
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
2,282 236 160
Naomba mualiko nije kujilia vitumbua vya kuku...
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,134
Likes
5,553
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,134 5,553 280
Hii sijawahi kuisikia aisee asante kwa maujuzi. Mwenzenu chuma changu kinakamata kweli nikipika vitumbua vinatoka kwa bahati sasa huenda hata hivo vitumbua vya kawaida siviwezi kwani niliangalia youtube nkajaribu siku ya kwanza vikatoka lkn siku nyengine vikanigomea.
Owh pole sana....tafuta chengine
 
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
4,468
Likes
1,526
Points
280
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
4,468 1,526 280
Hii sijawahi kuisikia aisee asante kwa maujuzi. Mwenzenu chuma changu kinakamata kweli nikipika vitumbua vinatoka kwa bahati sasa huenda hata hivo vitumbua vya kawaida siviwezi kwani niliangalia youtube nkajaribu siku ya kwanza vikatoka lkn siku nyengine vikanigomea.
Vipo vitumbua vya mchele, vya kuku, vya nyama, vya samaki na hata vya kunde.

Kuhusu Hicho chuma tafuta chengine, nonstick. Lkn kweli vina kazi kupata kama alivosema farkhina. Hata huku kwetu zenji mi nlitafuta sana, nlibahatika kupata kimoja tena bei 50 thousand.
 
Last edited by a moderator:
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
4,468
Likes
1,526
Points
280
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
4,468 1,526 280
Mahitaji
1)Kuku
2)kitunguu maji 1
3)kitunguu saumu 1 teaspoon
4)tangawizi 1 teaspoon
5)pilipili manga 1 teaspoon
6)pilipili mboga 1
7)baking powder 1 teaspoon
8)mafuta ya kupikia
9)chumvi kiasi
10)mayai 5-6


Namna ya kutaarisha

1)chemsha kuku,weka chumvi,kitunguu saumu na tangawizi...
2)akishawiva vizuri,chambua kuku wako na kumtoa mifupa...
3)weka kwenye blenda kuku,kitunguu maji,pilipili mboga,mayai,chumvi na pilipili manga.....saga kiasi..
4)weka kwenye bakuli safi na uweke baking powder...

5)weka chuma cha kuchomea kwenye jiko
6)fanya kama unavyopika vitumbua vya kawaida


Vitumbua vya kuku tayari kwa kuliwa..
Asante kwa upishi habibty.

Vitumbua ivo very tasty.
 
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,211
Likes
7,285
Points
280
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,211 7,285 280
asante kwa mapishi
 

Forum statistics

Threads 1,250,722
Members 481,468
Posts 29,743,261